Hii inaonesha ni kwa jinsi gani watanzania wamekuwa na mwamko katika kufuatilia mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini tofauti na miaka ya nyuma hii ndo sura halisi katika vibanda vya kuuzia magazeti katika maeneo tofautitofauti ya jiji la mwanza ukipita utaona umati wa watu wakipitia japo kwa ufupi vichwa vya habari ingawa sio wote wanaweza kumudu kununua magazeti hayo lakini inapendeza kuona watu wanafuatilia mambo hiki ndicho kilichonifurahisha nami nikahamua kuwaonesha na nyie ni jinsi gani watanzania walivyo makini kwa sasa je wadau kwenu ipo hivi?



sasa tuna kuhama blog haina mpya kila siku yale yale no update yoyote