Hawa ni baadhi ya wachangiaji damu waliojitokeza kwa ajili ya uchangiaji damu katika programu iliyoandaliwa na klabu ya ROTARACT ROCK CITY kwa lengo la kuiokoa jamii na tatizo la damu nchini
Diana Thomas mwanachama katika klabu hiyo amesema wao wameamua kufanya hivyo baada ya klabu yao kuona kwamba kunauhaba wa damu katika benki nyigi za damu hapa nchini
Pamoja na hayo Dk.Zubeda Shangelo amewasihii watu kachangia damu ilikuokoa maisha ya watu wanakufa kwa kukosa damu pia Dk.Shangelo amewatoa hofu watu wasiogope kuchangia damu kwani kuchangia damu hakuleti madhara yoyote kiafya kama inavyozaniwa na wengi
Pia Dk.Shengelo ametaja faida ya kutoa damu ni pamoja na kujua afya yako kwani hupima magonjwa kama vvu,homa ya manjano B and C,kaswende pamoja na mchangiaji kuweza kujua group yadamu yake
Zoezi hili linafanyika katika viwanja vya Raila Odinga vilivyopo maeneo ya malimbe kwa takribani mbili mfululizo ikihusisha watu wenye kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea kuanzia

