Karibu Sana katika Blogu hii ambayo inakupa fursa ya kupata habari mbali mbali za maswala ya urembo nk. pia kama unatangazo lako unataka liwekwe hapa mtandaoni,usisite kuwasiliana nasi kwa mawasiliano haya +255786665555 au email hii flauwo@yahoo.com.
Thursday, December 22, 2011








Hii ndo hali halisi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya nchi watu wamekuwa wakitofautiana wengine wanalia mafuriko lakini wengine wanafurahia kwa kutayarisha mashamba pamoja na kupanda mbegu tayari kwa msimu mpya wa kilimo haya ni baadhi ya maeneo ya mwanza ambapo wakulima wengi wamekuwa wakipanda mbegu na kuonekana kuifaidi mvua inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya jiji lamwanza



 
© FLORAH | 9:25 PM | Permalink |


Idadi Ya Maoni: 0


Idadi ya watu