Tafuta ndani ya hii blog:
Tarehe December 20, 2011 10:40 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
kwani hapo kuna ubaya gani, mbona hiyo shule inamajengo mazuri kabisa yanaonekana? huo ni ubunifu wa walimu wao ili kuwapima watoto wasiangaliziane.assess miaka 50 at your family level uone kuna improvement ama la, pia walter rodney amedefine vizuri kabisa what is development.hebu watanzania tuongeze muda wa kufanya kazi, tupunguze muda wa starehe na maandalizi ya sherehe, we are wasting a lot of time kwa vitu unnecessary.tanzania bila umaskini inawezekanatimiza wajibu wako
Tarehe December 22, 2011 1:35 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
acha kujilalamisha sister, mbona hao wanaonekana wanafanya mtihani wa kitaifa ndio huwa wanapangwa hivyo? kwani kuna tatizo gani hapo na kila mwanafunzi ana dawati lake kwenye hiyo picha yako.
Tarehe December 26, 2011 6:12 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
hii ni hatari, matokeo ya uongozi mbovu.
kwani hapo kuna ubaya gani, mbona hiyo shule inamajengo mazuri kabisa yanaonekana?
huo ni ubunifu wa walimu wao ili kuwapima watoto wasiangaliziane.
assess miaka 50 at your family level uone kuna improvement ama la, pia walter rodney amedefine vizuri kabisa what is development.
hebu watanzania tuongeze muda wa kufanya kazi, tupunguze muda wa starehe na maandalizi ya sherehe, we are wasting a lot of time kwa vitu unnecessary.
tanzania bila umaskini inawezekana
timiza wajibu wako