Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mwaka mpya kuaanza nikimaanisha 2012 mwanza inaenda kusherekea kivyake baada ya Mungu kutukumbuka tena kwa mvua kubwa iliyonyesha maeneo tofauti ya mwanza kwa takribani masaa mawili na hali kuwa kama inavyooonekana hapo kwenye picha baadhi ya shughuli za kijamii zimesimama kwa mida kutokana na mvua hiyo likini baada tu ya mida mfupi shughuli zikaendelea kama kawaida

