Nikwajinsi gani basi kuweza kuwasaidia wenzetu hawa wenye ulemavu wa ngozi ambao ngozi ya ni laini kiasi kwamba inashindwa kupambana na jua na kuwasababishi saratani ya ngozi EMANUELI WABANI ambaye pia ni mlemavu wa ngozi na pia ni mkufunzi katika chuo kikuu cha mtakatifu Augustino mwanza amesema ni pamoja na kuwasaidia vitu kama kofia ,miwani maalum pamoja na nguo zenye kufunika karibu mwili mzima kwa sababu adui mkubwa kwa alibino ni jua

