

Haya ni baadhi ya athari ya mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini hili ni eneo linaloonyesha jinsi barabara kati ya Arusha ,karatu hadi mbulu ilivyoharibiwa vikali na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo {shukurani kwa SAUTI YA VIJIJINI BLOG}