Hii ni meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi mkuu wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino na pia Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Mwanza Mh.Theudes Ruwaichi katika mahafali ya 13 ya chuo hicho ikiwa ni zaidi ya wahitimu elfu tatu wameweza kupata mahafali hayo katika ngazi ya cheti,stashahada pamoja na shahada katika viwanja vya Raila Ofinga leo



Zaidi ya wahitimu elfu tatu wameweza kupata mahafali hayo...
Wow. Hata Kiswahili kinatushinda.