Karibu Sana katika Blogu hii ambayo inakupa fursa ya kupata habari mbali mbali za maswala ya urembo nk. pia kama unatangazo lako unataka liwekwe hapa mtandaoni,usisite kuwasiliana nasi kwa mawasiliano haya +255786665555 au email hii flauwo@yahoo.com.
Saturday, November 26, 2011





















Hii ni shangwe nderemo na vifijo kama inavyoonekana hawa ni baadhi ya wahitimu zaidi ya elfu tatu wakifurahia ikiwa ni pam oja na kupongezana wenyewe kwa wenyewe pamoja na ndugu jamaa na marafiki

Pamoja na furaha zote hizo wahitimu hao wameweza kupewa wosia kutoka mkuu wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino ambaye pia ni Askofu mkuu wa jimbo kuu la mwanza Mh.Theudeus Ruwaichi kwamba wahakikishe wanatumia fursa ya elimu walioipata kuikomboa Tanzania katika nyanja zote ikiwa ni pamoja na kupinga/kupambana na vitendo viovu kama vile rushwa ,ushoga pamoja na mambo ambayo ni sambamba na hayo kwa kufanya hivyo taifa litaweza kujengeka vizuri katika nyanja zote kiuchumi,kisiasa n.k

Hata hivyo wahitimu hao wameaswa kuwa wahakikishe wanafaya kazi zinazoendana na fani zao na sio kukimbilia kwenye mambo ya kisiasa kama ilivyofikira pamoja na ,malengo ya wahitimu walio wengi.









 
© FLORAH | 4:13 PM | Permalink |


Idadi Ya Maoni: 0


Idadi ya watu